99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya Teknolojia za Kisasa ya China Mwaka 2023 (Smart China Expo 2023) yafunguliwa Chongqing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 05, 2023
Maonyesho ya Teknolojia za Kisasa ya China Mwaka 2023 (Smart China Expo 2023) yafunguliwa Chongqing, China
Watembeleaji wa maonyesho wakionekana kwenye Sehemu ya Kukaa madereva na wahudumu inayotumia Teknolojia za Akili Bandia kwenye Maonyesho ya Teknolojia za Kisasa ya China Mwaka 2023 (Smart China Expo 2023) yanayofanyika Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China, Septemba 4, 2023. (Xinhua/Wang Quanchao)

Maonyesho ya Teknolojia za Kisasa ya China Mwaka 2023 (Smart China Expo 2023) yamefunguliwa katika Kituo cha Maonyesho cha Kimataifa cha Chongqing, China siku ya Jumatatu.

Yakiwa yamepangwa kufanyika hadi siku ya Jumatano wiki hii, maonyesho hayo ya mwaka huu yanaangazia vyombo vya usafiri vinavyotumia nishati mpya vyenye teknolojia za kisasa, na vilivyoounganishwa na Mambo ya Intaneti. Yamevutia wadau wa biashara zaidi ya 500 kutoka ndani na nje ya China ili kuonyesha teknolojia zao za kisasa, bidhaa na matumizi katika viwanda vya teknolojia za kisasa na uchumi wa kidijitali.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha