99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Teknolojia za kisasa zavutia watembeleaji wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China Mwaka 2023 (CIFTIS) mjini Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 04, 2023
Teknolojia za kisasa zavutia watembeleaji wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China Mwaka 2023 (CIFTIS) mjini Beijing
Picha hii ni ya gari la kuwasilisha bidhaa kwa wateja kiotomatiki linaloonyeshwa kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China (CIFTIS) Mwaka 2023 yanayofanyika katika Bustani ya Shougang hapa Beijing, China, Septemba 3, 2023. (Xinhua/Ren Chao)

Yakiwa na kaulimbiu ya "Kufungua mlango kwa kuongoza maendeleo, kufanya ushirikiano kwa kujenga siku za baadaye" Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China (CIFTIS) Mwaka 2023 yanafanyika Beijing kuanzia Septemba 2 hadi 6 na yanahusisha shughuli mbalimbali zaidi ya 200, zikiwemo pamoja na makongamano, majadiliano na mikutano ya kilele.

Kwenye maonyesho hayo, teknolojia za kisasa zimevutia macho ya watembeleaji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha