99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Afrika Kusini yashuhudia kuongezeka kwa watalii katika kipindi cha Januari-Juni (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2023
Afrika Kusini yashuhudia kuongezeka kwa watalii katika kipindi cha Januari-Juni
Watalii wakipiga picha na sanamu ya Nelson Mandela mjini Cape Town, Afrika Kusini, Agosti 13, 2023. (Xinhua/Dong Jianghui)

Kwa mujibu wa takwimu za hivi punde kutoka Idara ya Takwimu ya Afrika Kusini, nchi hiyo ilipokea watalii wapatao milioni 4.07 katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Juni Mwaka 2023, ikiwa ni ongezeko la asilimia 78.2 ikilinganishwa na kipindi kama hicho cha mwaka jana.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha