99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kituo cha elimu ya awali kinachofadhiliwa na kampuni ya China chatoa elimu kwa watoto nchini Afrika Kusini (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 18, 2023
Kituo cha elimu ya awali kinachofadhiliwa na kampuni ya China chatoa elimu kwa watoto nchini Afrika Kusini
Watoto wakicheza kwenye kituo cha elimu ya awali huko De Aar Town, umbali wa zaidi ya kilomita 750 Kaskazini Mashariki mwa Cape Town, Afrika Kusini Agosti 11, 2023. (Xinhua/Dong Jianghui)

Kituo hiki cha elimu ya awali kimefadhiliwa na kampuni ya Nishati Mbadala ya Longyuan ya Afrika Kusini ambayo ni kampuni tanzu ya Kundi la Kampuni za Nishati za Longyuan za China, ambayo imefadhili uanzishwaji wa vituo vinne vya elimu ya awali huko De Aar ili kutoa elimu kwa watoto kutoka familia maskini. Karibu watoto 500 wenye uhitaji wamedahiliwa katika vituo hivi vya masomo hadi sasa.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha