99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Shule zafanya ukarabati baada ya maafa ya mafuriko katika Mji wa Beijing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 16, 2023
Shule zafanya ukarabati baada ya maafa ya mafuriko katika Mji wa Beijing, China
Wafanyakazi wakisafisha darasa katika Shule ya Makabila ya Miaofengshan katika Eneo la Mentougou la Beijing, China, Agosti 14, 2023. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Shule zilizobomolewa na kuharibiwa na mvua kubwa katika Eneo la Mentougou na Eneo la Fangshan katika Mji wa Beijing, China zinafanya kila jitihada kufanya ukarabati wa baada maafa na kujiandaa kwa ajili ya muhula mpya ujao wa masomo. Operesheni mbalimbali zimefanyika kulingana na hali maalum, ikiwa ni pamoja na kusafisha mitaro, kuua vijidudu, ukarabati wa majengo, n.k.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha