99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wilaya ya Laishui ya Kaskazini mwa China yaimarisha kazi ya uokoaji baada ya kimbunga

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2023
Wilaya ya Laishui ya Kaskazini mwa China yaimarisha kazi ya uokoaji baada ya kimbunga
Picha hii inaonesha wafanyakazi wanaoendesha mitambo ya kukarabati daraja la Kijiji cha Shangzhuang la Mji wa Sanpo wa Wilaya ya Laishui, Kaskazini mwa Mkoa wa Hebei, China, Agosti 8, 2023.

Wilaya ya Laishui iliyoathiriwa na Kimbunga Doksuri, hivi karibuni ilikumbwa na mvua kubwa na baadhi ya vijiji vilikumbwa na matatizo ya usafiri na mawasiliano. Hivi sasa mamlaka za mitaa zinarekebisha miundombinu iliyoharibiwa na mafuriko ili kurejesha maisha katika hali ya kawaida haraka iwezekanavyo. (Xinhua/Yang Shiyao)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha