99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Ufungaji wa Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia ya Chengdu majira ya joto wafanyika (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2023
Ufungaji wa Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia ya Chengdu majira ya joto wafanyika
Tarehe 8, Agosti, mjumbe kutoka mji utakaoandaa michezo ijayo ya FISU, ambaye pia ni ofisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Ardhi ya Taifa ya Ujerumani Mahmut Ozdemir (kushoto), pamoja na mjumbe mtendaji mkuu wa kamati ya FISU Verena Burk walikuwa kwenye hafla ya kukabidhiana bendera ya FISU.

Usiku wa siku hiyo, ufungaji wa Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia ya majira ya joto ulifanyika kwenye Bustani ya Muziki ya Chengdu.

Picha zilipigwa na Jiang Hongjing/Mwandishi wa Habari wa Shirika la Habari la China Xinhua.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha