99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Moto wa nyika wasababisha uharibifu mkubwa nchini Algeria (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 26, 2023
Moto wa nyika wasababisha uharibifu mkubwa nchini Algeria
Mama na mtoto wake wakisimama karibu na nyumba iliyoteketezwa kwa moto wa nyika katika Jimbo la Bejaia, Algeria. (Xinhua)

Idadi ya watu waliofariki kutokana na moto wa nyika Kaskazini mwa Algeria imeongezeka hadi kufikia 34, wakiwemo askari 10, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Algeria imesema katika taarifa iliyotolewa Jumatatu. Moto huo ulianza usiku wa kuamkia Jumapili hasa katika majimbo ya Bejaia, Jijel, na Bouira, lakini ulisambaa haraka kutokana na upepo mkali, na kusababisha uharibifu mkubwa.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha