99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Tamthilia ya dansi ya Afrika Kusini ya "Roho ya Ubuntu" yaonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye Tamasha la 6 la Kimataifa la Dansi la China Xinjiang (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 26, 2023
Tamthilia ya dansi ya Afrika Kusini ya
(Picha na Mao Jianjun/China News)

Usiku wa Julai 24, tamthilia ya dansi ya "Roho ya Ubuntu" iliyoletwa na Kikundi cha Sanaa cha Dansi cha Elvis cha Afrika Kusini ilionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye Ukumbi wa Sanaa za Jukwaani wa Umma wa Xinjiang. Tamthilia ya "Roho ya Ubuntu" imejikita kwenye utamaduni wa kijadi wa Afrika Kusini na inasimulia hadithi kuhusu upendo na umoja kwa njia ya dansi, muziki na tamthilia.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha