99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mistari ya uzalishaji kwenye viwanda vya magari yanayotumia nishati mpya (NEVs) yafanya kazi kwa kasi kamili katika Mji wa Chongqing, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 25, 2023
Mistari ya uzalishaji kwenye viwanda vya magari yanayotumia nishati mpya (NEVs) yafanya kazi kwa kasi kamili katika Mji wa Chongqing, China
Picha hii ya angani iliyopigwa Julai 20, 2023 ikionyesha kituo cha usambazaji wa magari cha kampuni ya magari ya Chang'an katika Wilaya ya Jiangbei, mji wa Chongqing, Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua/Tang Yi)

Katika miaka ya hivi karibuni, Chongqing imeharakisha ujenzi wa vikundi vya viwanda vya magari yanayotumia nishati mpya (NEVs). Kwa sasa, mistari ya uzalishaji kwenye viwanda hivyo mjini Chongqing inafanya kazi kwa kasi kamili kukidhi mahitaji ya soko la ndani na la kimataifa.

Kwa mujibu wa takwimu, uzalishaji wa magari ya NEVs mjini Chongqing Mwaka 2022 ulipanda kwa asilimia 142.5 na kufikia karibu 369,000, na uuzaji nje wa magari hayo wa mji huo uliongezeka kwa karibu asilimia 90 kuliko kiwango cha mwaka jana.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha