99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China yarusha?satelaiti nne kwenye anga ya juu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2023
China yarusha?satelaiti nne kwenye anga ya juu
Roketi ya Long March-2D iliyobeba satelaiti nne ikiruka kutoka kwenye Kituo cha Urushaji Satelaiti kwenye anga ya juu cha Taiyuan, Mkoa wa Shanxi, Kaskazini mwa China, Julai 23, 2023. Roketi hiyo iliondoka saa 4:50 Asubuhi (Saa za Beijing), na satelaiti zote zimeingia kwa mafanikio kwenye obiti iliyopangwa mapema kwenye anga ya juu. (Picha na Zheng Bin/Xinhua)

TAIYUAN - China imerusha roketi ya Long March-2D kwenye anga ya juu, na kutuma satelaiti 4 kwenye obiti iliyopangwa mapema.

Roketi hiyo iliondoka saa 4:50 asubuhi (Saa za Beijing) kutoka Kituo cha Kurusha Satelaiti kwenye anga ya juu cha Taiyuan katika Mkoa wa Shanxi, Kaskazini mwa China siku ya Jumapili.

Satelaiti tatu kati ya hizo zitatumika kupata data za uchunguzi wa kuhisi kutoka mbali na kutoa huduma za kibiashara za kuhisi kwa mbali, huku satelaiti nyingine itatumika kwa uthibitishaji wa teknolojia ya mawasiliano ya satelaiti.

Hii ni safari ya 479 kwenye anga ya juu kwa kizazi cha roketi za Long March.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha