99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Ujenzi wa mtambo?wa kwanza duniani wa kuzalisha umeme kwa upepo baharini wakamilika huko Fuzhou, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 29, 2023
Ujenzi wa mtambo?wa kwanza duniani wa kuzalisha umeme kwa upepo baharini wakamilika huko Fuzhou, China
Picha hii ikionyesha eneo la ujenzi wa mtambo mkubwa wa kwanza duniani wa kuzalisha umeme kwa upepo baharini wenye uwezo wa megawati 16 mjini Fuzhou, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, Juni 28, 2023. Ujenzi wa mtambo mkubwa wa kuzalisha umeme kwa upepo baharini, wenye uwezo mkubwa zaidi duniani, umekamilika hapa siku ya Jumatano, kwa mujibu wa Shirika la China Three Gorges. (Xinhua/Lin Shanchuan)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha