99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mashindano ya Mbio za Mashua za Dragoni yafanyika kote China kusherehekea Sikukuu ya jadi ya Duanwu (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2023
Mashindano ya Mbio za Mashua za Dragoni yafanyika kote China kusherehekea Sikukuu ya jadi ya Duanwu
Washiriki wakishindana kwenye mashindano ya mbio za mashua za dragoni huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Juni 22, 2023. (Xinhua/Zhang Tao)

Mashindano ya Mbio za mashua za Dragon yamefanyika kote nchini China kusherehekea Sikukuu ya Tamasha la Mashua ya Dragon au Sikukuu ya Duanwu, ambayo ni sikukuu ya jadi ya China inayosherehekewa siku ya Tarehe 5, Mwezi wa 5 kila mwaka kwa kalenda ya kilimo ya China, na kwa mwaka huu imeangukia Juni 22.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha