99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wanafunzi wa kigeni washiriki shughuli ya kuhimiza na kutangaza utamaduni ili kujifunza kuhusu Mkoa wa Guizhou wa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 05, 2023
Wanafunzi wa kigeni washiriki shughuli ya kuhimiza na kutangaza utamaduni ili kujifunza kuhusu Mkoa wa Guizhou wa China
Wanafunzi wa kigeni nchini China wakitembelea daraja la Mto Baling, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Juni 3, 2023. (Xinhua/Tao Liang)

Jumla ya wanafunzi 40 wa kigeni kutoka nchi 24 hivi karibuni wameshiriki shughuli ya kuhimiza na kutangaza utamaduni kwa ajili ya kujifunza kuhusu Mkoa wa Guizhou, hasa mafanikio yake katika ujenzi wa miundombinu ya usafiri na ustawishaji wa vijiji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha