99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Njia ya reli ya utalii yavutia watalii huko Honghe, Kusini Magharibi mwa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 05, 2023
Njia ya reli ya utalii yavutia watalii huko Honghe, Kusini Magharibi mwa China
Watu wakipiga picha kwenye kituo cha Xianghuiqiao kando ya njia ya reli ya watalii katika Wilaya ya Jianshui ya Eneo linalojiendesha la Honghe, Mkoa wa Yunnan nchini China, Juni 3, 2023. (Xinhua/Jiang Wenyao)

Katika kipindi fulani huko nyuma ikiwa njia muhimu ya usafirishaji chuma kwa wenyeji, reli ya Gejiu-Bisezhai-Lin'an-Shiping huko Honghe sasa ni kivutio kikuu cha watalii kwa wageni. Tokea Mwaka 2015, Maeneo ya Jianshui (Lin'an kwa jina la zamani) na Shiping yamekuwa yakitumia reli hii ya kihistoria na kuingiza uhai mpya katika shughuli zao za utalii. Sasa kufurahia safari ya treni ya kutazama mandhari kando ya njia hii ya reli ya watalii ni jambo la lazima kwa wageni wanaokuja hapa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha