99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Shughuli za Utalii zashamiri kote China wakati ambapo likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ikianza (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 30, 2023
Shughuli za Utalii zashamiri kote China wakati ambapo likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ikianza
Mtoto wa kike akimlisha twiga kwenye Bustani ya Wanyama ya Chimelong huko Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China Aprili 29, 2023. (Xinhua/Huang Guobao)

Likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ilianza jana Jumamosi nchini China. Katika kufurahia likizo hii, watu wengi kote nchini China wamepanga na kufanya safari za kitalii za kwenda kufurahia maeneo ya vivutio vya utalii ya ndani na nje ya China na kufanya utalii kushamiri.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha