99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya mafanikio mapya ya kidijitali yafanyika kwenye Mkutano wa 6 wa Kilele wa Kidijitali wa China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 27, 2023
Maonyesho ya mafanikio mapya ya kidijitali yafanyika kwenye Mkutano wa 6 wa Kilele wa Kidijitali wa China
Picha hii iliyopigwa Tarehe 26 Aprili 2023 ikionyesha hali ya nje ya Jengo la kufanyika kwa maonyesho ya Mkutano wa 6 wa Kilele wa Kidijitali wa China huko Fuzhou, China. (Xinhua/Wei Peiquan)

FUZHOU - Mkutano wa 6 wa Kilele wa Kidijitali wa China utafanyika katika Mji wa Fuzhou wa Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China kuanzia leo Aprili 27 hadi 28.

Maonyesho ya siku tano yamefunguliwa jana Jumatano ikiwa ni sehemu ya mkutano huo ili kuonyesha mafanikio mapya na mbinu zilizofanikiwa za utumiaji wa teknolojia za kidijitali za China ikijumuisha miundombinu ya kidijitali, uchumi na jamii.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha