99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Bidhaa za teknolojia ya hali ya juu za kampuni za China zaonekana kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 14, 2023
Bidhaa za teknolojia ya hali ya juu za kampuni za China zaonekana kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China
Watembeleaji wa maonyesho wakijulishwa gari linalotumia nishati mbadala la M-HERO kwenye banda la Mkoa wa Hubei Tarehe 13, Aprili.

Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yamevutia kampuni mbalimbali za teknolojia kushiriki. Kampuni za China zinazoshiriki kwenye maonesho hayo zimeonesha bidhaa zao za teknolojia ya hali ya juu, na kuwavutia watembeleaji kutazama kwa ukaribu au kujaribu bidhaa hizo zenye teknolojia mpya zaidi. (Picha zinatoka Shirika la Habari la China Xinhua.)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha