

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China?(CICPE) yavutia kampuni za Ufaransa zenye utaalamu wa bidhaa za matumizi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 14, 2023
Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yanayoendelea kufanyika katika mkoa wa kusini mwa China wa Hainan yameshuhudia ushiriki wa dhati kutoka kwa kampuni za biashara za Ufaransa zenye ujuzi katika bidhaa muhimu za matumizi ikiwa ni pamoja na manukato na arki, vipodozi, vyakula na vito.?
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma