99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Bandari ya Tianjin ya China yapitisha makontena milioni 5.047 katika robo ya kwanza ya Mwaka 2023 (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 12, 2023
Bandari ya Tianjin ya China yapitisha makontena milioni 5.047 katika robo ya kwanza ya Mwaka 2023
Picha hii iliyopigwa Tarehe 6 Aprili 2023 ikionyesha meli ya kubeba makontena ikiwa kwenye gati linalotumia teknolojia za akili bandia la kutotoa kaboni la Bandari ya Tianjin, China. (Picha na Han Xilong/Xinhua)

Bandari ya Tianjin, imeshughulikia takribani makontena milioni 5.047 yenye urefu unaolingana na futi ishirini kwa kila kontena (TEUs) katika miezi mitatu ya kwanza ya Mwaka 2023, ikiwa ni ongezeko la asilimia 9.09 kuliko mwaka jana.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha