99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wakazi waongeza mapato kwa kupitia utalii wa kutazama mandhari ya msimu katika Tarafa ya Sandu, Mashariki mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 02, 2023
Wakazi waongeza mapato kwa kupitia utalii wa kutazama mandhari ya msimu katika Tarafa ya Sandu, Mashariki mwa China
Picha hii iliyopigwa Tarehe 1 Machi 2023 ikionyesha kundi la bata wakionekana kupitia maua ya cherry katika Kijiji cha Datang cha Tarafa ya Sandu, huko Jiande katika Mkoa wa Zhejiang Mashariki mwa China. Katika miaka ya hivi majuzi, Tarafa ya Sandu imesaidia wakazi wa eneo hilo kuongeza mapato yao kwa kukuza biashara ya utalii wa kutazama mandhari ya msimu ambayo huhusisha maua ya cheri ya milimani, maeneo ya kupiga kambi na hoosteli kwa ajili ya malazi ya watalii. (Xinhua/Xu Yu)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha