99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu watembea na kutazama maua, wajiburudisha katika majira ya mchipuko (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 20, 2023
Watu watembea na kutazama maua, wajiburudisha katika majira ya mchipuko
Tarehe 18, Februari, watalii walitembea na kutazama maua katika Bustani ya Hifadhi ya Mazingira ya asili ya Xifeng ya mji wa Yangzhou wa Mkoa wa Jiangsu. Picha hii ilipigwa kwa droni.

Wakati wa mapema ya majira ya mchipuko , kufuatia hali joto kuongezeka, maua mengi yamechanua katika sehemu nyingi za kusini mwa China. Watu wengi wametoka nyumbani na kwenda nje kutembea na kutazama maua, wanajiburudisha katika hali ya kuchipuka kwa majani na mimea . (Picha na Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha