

Lugha Nyingine
Kikosi cha uokoaji cha China chaokoa mtu mwingine aliyenusurika kwenye tetemeko la ardhi, Uturuki (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 13, 2023
![]() |
Kikosi cha uokoaji cha China kikihamisha mtu aliyenusurika kutoka kwenye vifusi vya jengo lililobomolewa katika tetemeko la ardhi huko Antakya, Mkoa wa Hatay wa Uturuki Tarehe 12, Februari. (Xinhua/Shadati) |
Mchana wa tarehe 12 kwa saa za Ankara, kikosi cha uokoaji cha China kinachotekeleza kazi za uokoaji kiliokoa mtu mmoja aliyenusurika kwenye tetemeko la ardhi huko Antakya, Mkoa wa Hatay wa Uturuki, ambapo ni baada ya zaidi ya saa 150 kupita tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma