99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mapambo yenye picha ya sungura yaongeza shamrashamra za sherehe za Mwaka Mpya wa Jadi wa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 17, 2023
Mapambo yenye picha ya sungura yaongeza shamrashamra za sherehe za Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Msanii akipaka rangi kipande cha kazi ya sanaa kwenye karakana ya vinyago vya udongo katika Wilaya ya Yutian, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Januari 16, 2023. (Picha na Liu Mancang/Xinhua)

Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Sungura unapokaribia, mapambo na kazi mbalimbali za mikono zenye picha ya sungura, mmoja wa wanyama 12 ambao kila mmoja anawakilisha mwaka mmoja katika mzunguko wa miaka 12 kwa kalenda ya kilimo ya China, zimeteka mitaa mbalimbali, na kuongeza shamrashamra za sherehe hiyo maarufu ya kijadi nchini China. (Picha na Zeng Yong/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha