

Lugha Nyingine
Mapambo ya mwaka mpya wa jadi wa China yauzwa vizuri huko Shandong, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 05, 2023
Wakati mwaka mpya kwa kalenda ya kilimo ya China unapowadia, mapambo ya sikukuu hiyo yanauzwa vizuri katika soko la mji wa Liaocheng wa mkoa wa Shandong, China, huku furaha ya mwaka mpya ikijaza kila sehemu. (Picha na Xu Jinsong/vip.people.com.cn)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma