99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Habari picha: Ndege wanaohamahama wakiwa kwenye hifadhi karibu na Ziwa Poyang Mashariki mwa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 23, 2022
Habari picha: Ndege wanaohamahama  wakiwa kwenye hifadhi karibu na Ziwa Poyang Mashariki mwa China
Korongo weupe wakicheza kwenye Hifadhi ya Nanchang ya Nyota Tano ya Korongo wa Siberia karibu na Ziwa Poyang huko Nanchang, Mkoa wa Jiangxi nchini China, Desemba 21, 2022. (Xinhua/Wan Xiang)

Katika Hifadhi ya Nanchang ya Nyota Tano ya Korongo wa Siberia karibu na Ziwa Poyang, ambalo limeathiriwa na ukame mwaka huu, watu wapenda ndege wamekodisha bwawa la lotus, ambapo ndege wanaohama wamekuwa wakivutiwa kwa chakula kila mwaka, ili kuandaa chakula cha kutosha kwa ndege wanaohama wakati wa majira ya baridi. . (Xinhua/Wan Xiang)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha