99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Pilikapilika za usafirishaji wa majira ya baridi kwenye Mfereji Mkuu wa Jinghang Yangzhou, Jiangsu (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 20, 2022
Pilikapilika za usafirishaji wa majira ya baridi kwenye Mfereji Mkuu  wa Jinghang Yangzhou, Jiangsu
Tarehe 18, Desemba, meli ya kusafirisha bidhaa ikisafiri kwenye sehemu ya Yangzhou ya Mfereji Mkuu unaotoka Beijing hadi Hangzhou (Picha na droni).

Tangu kuingia kwenye majira ya baridi, sehemu ya Yangzhou katika Mkoa wa Jiangsu ya Mfereji Mkuu wa Jinghang, meli zenye kubeba makaa ya mawe, chuma, vifaa vya ujenzi zinasafiri kwa utaratibu mzuri, na kuufanya mfereji huo kuwa na hali ya pilikapilika. (Mpiga picha: Meng Delong/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha