99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mabasi ya kujiendesha yanayoundwa na kampuni ya China yataanza kufanya kazi nchini Ufaransa (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 12, 2022
Mabasi ya kujiendesha  yanayoundwa na kampuni ya China  yataanza kufanya kazi nchini Ufaransa
Tarehe 7,Desemba, basi linalojiendesha lililoundwa na Kampuni ya CRRC ya China lilifanya majaribio ya kuendesha kwenye sehemu kadhaa za Njia 393 ya Kampuni ya Usafirishaji ya Umma ya Paris (RATP).

Hivi karibuni, mabasi yanayojiendesha ambayo yaliundwa na kampuni ya CRRC yalikamilisha kazi mbalimbali za majaribio katika vitungaji vya mji wa Paris, Ufaransa, na yapo tayari kuanza kazi rasmi ya kubeba abiria. (Mpiga picha: Gaojing/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha