99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Volkano ya Indonesia yaendelea kulipuka


(3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 07, 2022
Volkano ya Indonesia yaendelea kulipuka<br> <br><br>
Tarehe 6, Desemba, volkanokatika Kijiji cha Sapiturang, Wilaya ya Lumajan, Mkoa wa Java Mashariki, Indonesia,watu wakibeba vitu vyao na kuondoka kutoka eneo linaloathiriwa na mlipuko wa volkano.

Volkano ya Semeru katika Mkoa wa Java Mashariki ilianza kulipuka kuanzia alfajiri ya Tarehe 4, na nguvu ya mlipuko ulipungua kidogo tarehe 5. Lakini, tishio la maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na majivu ya volkano yaliyokutana na mvua ni kubwa zaidi, na watu zaidi ya 2,400 wamehamishwa kwa dharura. (Mpigaji picha: Bayou Novanta/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha