99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mavuno ya mahindi yawezesha majengo ya jadi kuwa majengo ya “dhahabu” huko Nanjing, Fujian (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 30, 2022
Mavuno ya mahindi yawezesha majengo ya jadi kuwa majengo ya “dhahabu” huko Nanjing, Fujian
Tarehe 29, Novemba, mwanakijiji akianika mahindi kwenye majengo ya jadi katika Kijiji cha Meilin cha Mji wa Meilin wa Wilaya ya Nanjing ya Mji wa Zhangzhou.

Mwanzoni mwa majira ya baridi, Kijiji cha Meilin cha Mji Mdogo wa Meilin wa Wilaya ya Nanjing ya Mji wa Zhangzhou kilikaribisha kipindi cha mavuno ya mahindi, wanakijiji walitumia hali nzuri ya hewa kuanika mahindi. Katika miaka ya hivi karibuni, Mji mdogo wa Meilin wa Wilaya ya Nanjing ukitegemea hali yake nzuri ya kijioglafia umeeneza kwa nguvu upandaji wa mahindi ili kuhimiza ustawishaji wa kijiji kwa kupitia ya mafanikio ya kilimo hicho.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha