99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kujenga mfumo wa njia za watembea kwa miguu ili kuongeza hisia za furaha walizonazo wakazi mjini

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 22, 2022
Kujenga mfumo wa njia za watembea kwa miguu ili kuongeza hisia za furaha walizonazo wakazi mjini
Watu wakitembea kwa miguu kwenye njia ya sehemu ya juu katika bustani ya Jinjishan mjini Fuzhou (Picha ilipigwa na droni Novemba 18).

Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Fuzhou wa Mkoa wa Fujian umejenga mfumo wa njia za watembea kwa miguu mjini, kupanua maeneo ya miti na majani, kuwawezesha watu wanaweza kuangalia mandhari ya kijani mara wakifungua madirisha na milango na kuongeza hisia za furaha ya maisha yao. Hadi sasa, Mji wa Fuzhou umejenga njia za watembea kwa miguu karibu kilomita 700.

(Mpiga picha: Wei Peiquan/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha