99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonesho ya 10 ya Sayansi na Teknolojia ya Kimataifa yafunguliwa Mianyang (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2022
Maonesho ya 10 ya Sayansi na Teknolojia ya Kimataifa yafunguliwa Mianyang
Hii ni chipu ya uongozi wa mawasiliano ya Beidou-03 iliyooneshwa kwenye Maonesho ya 10 ya Teknolojia ya Kimataifa yanayofanyika katika Mji wa Teknolojia ya China (Mianyang). (Picha ilipigwa Tarehe 16, Novemba)

Siku hiyo, Maonesho ya 10 ya Sayansi na Teknolojia ya Kimataifa yalifunguliwa katika Mji wa Teknolojia ya China (Mianyang), Mkoa wa Sichuan. Habari zinasema kuwa, kaulimbiu ya maonesho hayo ni “kuongozwa na teknolojia, kufanya uvumbuzi na ujasiriamali, kushirikiana na kunufaishana”, makampuni na mashirika zaidi ya 600 zilishiriki kwenye maonesho hayo kwa njia ya video na kwenye ukumbi,matokeo mapya ya uvumbuzi wa teknolojia ya hali ya juu yakionekana kwenye maonesho hayo. (Mpiga picha: Tang Wenhao/Shirika la Habari la China, Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha