

Lugha Nyingine
Kujenga Daraja Kwenye Sehemu Yenye Urefu wa Mita 100 Kutoka Juu ya Ardhi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 16, 2022
Katika sehemu ya ujenzi wa mradi muhimu wa Daraja Kubwa la Mto Tuojiang la reli ya mwendo kasi ya Chongqing-Kunming mkoani Sichuan, wafanyakazi wanafanya kazi kwenye sehemu yenye urefu wa mita 100 kutoka juu ya ardhi. Kwa kuwa sehemu hiyo ilikumbwa na ukungu, hivyo inaonekana kama wanafanya kazi juu ya mawingu.
Daraja Kubwa la Mto Tuojiang la Reli ya Mwendo Kasi ya Chongqing-Kunming kwa jumla lina urefu wa mita 2613.3 hivi, na mnara wa daraja kuu una urefu wa mita 113.2, ambao ni sawasawa na jengo lenye ghorofa 38.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma