99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Magari yanayotumia Nishati Mpya yaonekana kisiwani Bali (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 16, 2022
Magari yanayotumia Nishati Mpya yaonekana kisiwani Bali
(Picha inatoka Shirika la Habari la China Xinhua.)

Picha iliyopigwa tarehe 13, Novemba ikionesha magari ya Wuling yanayotumia nishati mpya kwenye kituo cha huduma kisiwani Bali, Indonesia.

Hivi karibuni, magari 300 yanayotumia nishati mpya ambayo yaliundwa na tawi la Indonesia la kampuni ya SGMW yanaonekana kisiwani Bali, ambapo ni sehemu ya kufanyika kwa Mkutano wa Kilele wa Kundi la Nchi 20 (G20) wa Indonesia. Magari hayo yakiwa magari ya kiofisi ya mkutano huo, yanatoa huduma kwa ujumbe mbalimbali na tume ya maandalizi ya mkutano. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha