

Lugha Nyingine
Kusafirisha theluji ili kuhakikisha utaratibu wa usafirishaji wa reli Shenyang, Liaoning (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 14, 2022
![]() |
Saa 8 ya tarehe 11 hadi saa 8 ya tarehe 12, Novemba, theluji kubwa ilianguka katika kusini mashariki mwa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa Liaoning, na magharibi kati mwa Jilin, katika baadhi ya maeneo theluji zilikuwa kubwa zaidi. Kampuni ya Reli ya Shenyang ya China ilitoa tahadhari kwa wakati kuhusu hali mbaya ya hewa, ikipanga maofisa na wafanyakazi kufanya ulinzi wa zamu kwenye barabara kuu, na kusafisha theluji kwa wakati ili kuhakikisha utaratibu wa kawaida wa usafirishaji wa reli.(Mpiga picha: Li Jichun/Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma