Nyumba kongwe yabadilishwa kuwa “duka la vitabu pwani” huko Zhejiang, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 11, 2022
![]() |
Tarehe 10, Novemba, duka la “Kusikiliza Upepo” likiwavutia watalii kuja kutembelea na kusoma. (People’s Daily Online/Zhang Yongtao) |
Katika bustani ya kitongoji cha Mji wa Daishan wa Mkoa wa Zhejiang, China, nyumba moja kongwe imekarabatiwa upya kuwa duka la vitabu lililopo karibu na bahari, ambalo linaitwa “Kusikiliza Upepo”. Hivi sasa vipo vitabu zaidi ya 4000 kwenye duka hilo, vikiwemo vile vya falsafa, utamaduni na sayansi ya kijamii n.k.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma