99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

“Wazo la Kupunguza utoaji kaboni” laonekana kwenye Maonyesho ya tano ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2022
“Wazo la Kupunguza utoaji kaboni” laonekana kwenye Maonyesho ya tano ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE)
Tarehe 7 Januari, kwenye eneo la bidhaa za matumizi la Maonyesho ya tano ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China, mfanyakazi akionyesha kitu cha kuchezea ambacho kijazo chake kilitengenezwa kwa takataka zilizokusanywa kutoka pwani ya bahari .

Wazo la uzalishaji na matumizi ya “kupunguza utoaji wa kaboni”, “matumizi ya mzunguko” na “maendeleo endelevu” linaonekana kwenye maeneo mbalimbali ya Maonyesho ya tano ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE), na kuashiria maisha ya watu ya siku za baada ya kutumia akili bandia, kulinda mazingira ya asili na kutoa kaboni chache.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha