99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China yazindua moduli ya maabara ya Mengtian na kukamilisha ujenzi wa kituo cha anga ya juu

(CRI Online) Novemba 01, 2022
China yazindua moduli ya maabara ya Mengtian na kukamilisha ujenzi wa kituo cha anga ya juu

China imerusha moduli ya maabara ya anga ya juu ya Mengtian, na kupeleka kwenye kituo cha anga za juu cha Tiangong na kumaliza ujenzi wa hatua ya mwisho.

Moduli ya Mengtian iliyorushwa na kujiunga na moduli mbili zilizoungana ambayo iko karibu kilomita 400 juu ya Dunia, ni jengo la mwisho ambalo linaruhusu Tiangong kuunda muundo wa umbo la T, mpangilio uliopangwa katika kukamilika kwa kituo cha anga ya juu cha China.

Muungano huo mpya unatarajiwa kufanya kazi baada ya kazi mfululizo zinazosimamiwa kwa kina ikiwa ni pamoja na kuunganisha na ubadilishaji wa obiti unaofuata.

Habari kutoka Shirika la Anga ya Juu la China zimesema kuwa roketi inayobeba Mengtian ya Long March-5B Y4, iliruka kwenye Kituo cha Urushaji wa Chombo cha safari ya Anga ya juu cha Wenchang kwenye ufukwe wa mkoa wa Hainan.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha