99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Pilikapilika za kuchuma pamba Xinjiang (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 24, 2022
Pilikapilika za kuchuma pamba Xinjiang
Oktoba 14, wafanyakazi wakipakia marobota ya pamba kwenye mashamba ya pamba ya Mkoa wa Xinjiang. (Mpiga picha: Wang Yawen/Xinhua)

Katika majira ya mpukutiko, kituo kikubwa cha uzalishaji wa mapamba cha Xinjiang, China, kimeingia kwenye kipindi cha mavuno kwenye mashamba makubwa, huku mashine zikifanya kazi kwenye mashamba.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha