99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Magari yanayojiendesha kwa akili bandia yahudumia eneo la vivutio vya utalii (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2022
Magari yanayojiendesha kwa akili bandia yahudumia eneo la vivutio vya utalii
Watalii wakipiga picha ya gari linalojiendesha la kufanya doria juu ya dalili ya ajali ya moto kwenye Bustani ya Misitu ya taifa ya Binhu, Mji wa Hefei wa Mkao wa Anhui tarehe 11, Oktoba.

Hivi karibuni, majaribio ya magari yanayojiendesha yameanza kufanyika rasmi kwenye Bustani ya Misitu ya kitaifa ya Binhu, mji wa Hefei wa Mkoa wa Anhui, China.

Huo pia ni mmoja wa miradi ya kwanza ya majaribio ya utumiaji wa magari ya akili bandia.

Mradi huo unahusisha utumiaji wa magari yanayojiendesha ya kubeba watalii kutembelea kwenye bustani, magari ya manunuzi yasiyo na wauzaji, magari ya kusafisha yasiyo na madereva n.k., ili kuleta huduma kirahisi kwa watalii. (Picha zilipigwa na Guochen/Xinhua) 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha