

Lugha Nyingine
Barabara za Xinjiang zaongezeka kwa kilomita elfu 62.2 katika mwongo uliopita (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2022
![]() |
Picha iliyopigwa kwa droni tarehe 25, Juni, 2022 ikionesha barabara ya jangwani kati ya Weili na Qiemo mkoani Xinjiang. Barabara hiyo ni barabara muhimu ya tatu ya China inayopita Jangwa kubwa la Taklimakan. |
Habari zilizotolewa na ofisi ya mawasiliano na uchukuzi ya Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uyrgu zimesema kuwa, tokea mwaka 2012, barabara za Xinjiang zimeongezeka kwa kilomita elfu 62.2, na urefu wa jumla wa barabara zake umefikia kilomita laki 2.17, barabara za lami zimepita miji yote na vijiji vyote vyenye hali inayofaa. (Picha zilipigwa na Hu Huhu/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma