99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Serikali ya Ufaransa yatangaza mpango wa kubana matumizi ya nishati ili kukabiliana na msukosuko wa nishati (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2022
Serikali ya Ufaransa yatangaza mpango wa kubana matumizi ya nishati ili kukabiliana na msukosuko wa nishati
Oktoba 6, katika Mji wa Lille, kaskazini mwa Ufaransa, kuna foleni ndefu ya magari mbele ya kituo cha mafuta Mbele ya Supumaketi ya Auchan.

Ili kukabiliana na msukosuko wa nishati unaozidi kuwa mbaya siku hadi siku, serikali ya Ufaransa ilianza kutekeleza mpango wa taifa wa kubana matumizi ya nishati Tarehe 6, ikitoa wito wa kuwataka watu wa nchi nzima wafanye juhudi ili kuepusha hatari ya kusitishwa kwa utoaji wa nishati wakati wa majira ya baridi.

(Shirika la Habari la China,Xinhua/Mpiga picha:Sebastian Kurgi )

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha