99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Vitoto vya panda vya Kituo cha Panda cha Chengdu vyaonekana kwa pamoja ili kukaribisha sikukuu ya taifa ya China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 29, 2022
Vitoto vya panda vya Kituo cha Panda cha Chengdu vyaonekana kwa pamoja ili kukaribisha sikukuu ya taifa ya China

Ili kukaribisha sikukuu ya taifa ya China itakayowadika, vitoto vilivyozaliwa Mwaka 2022 vya Kituo cha Panda cha Chengdu walionekana katika chumba cha kuzaliwa cha mwangaza wa jua.

Wafugaji panda waliweka vitoto vya panda kwenye jukwaa na kuwawekea kuwa umbo la nambari "73", wakitumia njia hiyo ya kipekee kukaribisha Sikukuu ya Taifa ya China itakayowadika na kulitakia taifa ustawi na mafanikio. (Picha na Kituo cha Ufugaji wa Panda cha Chengdu )

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha