99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China yarusha satelaiti ya Zhongxing-1E kwenye anga ya juu (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2022
China yarusha satelaiti ya Zhongxing-1E kwenye anga ya juu
Roketi iliyoboreshwa ya kubeba mizigo ya Long March-7 iliyobeba setilaiti mpya, Zhongxing-1E, ikirushwa kutoka kwenye eneo la kurusha vyombo kwenda anga ya juu la Wenchang, Mkoa wa Hainan nchini China, Septemba 13, 2022. (Xinhua/Zhang Liyun)

WENCHANG, Hainan - China siku ya Jumanne imefanikiwa kutuma setilaiti mpya kwenye anga ya juu kutoka kwenye Eneo la Kurusha vyombo kwenda anga ya juu la Wenchang katika Mkoa wa Kisiwa wa Hainan ulioko Kusini mwa nchi hiyo.

Satelaiti hiyo, Zhongxing-1E, imerushwa saa 9:18 alasiri. (Saa za Beijing) kwa kutumia roketi iliyoboreshwa ya Long March-7 na kuingia kwenye obiti iliyopangwa kwa mafanikio. Satelaiti hiyo itatoa huduma za kiwango cha juu za sauti, data, redio na televisheni.

Hii ni misheni ya 437 kwenye anga ya juu kwa roketi za kubeba za safu ya Long March. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha