99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Juhudi za kutoa misaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi zinaendelea Sichuan, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 07, 2022
Juhudi za kutoa misaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi zinaendelea Sichuan, China
Mwokoaji akitembea kuelekea Kijiji cha Wandong cha mji mdogo wa Detuo katika Wilaya ya Luding, Mkoa wa Sichuan nchini China, Septemba 6, 2022. (Xinhua/Shen Bohan)

Serikali za Mtaa zimetoa taarifa leo Jumatano kuwa, jumla ya watu 74 hadi sasa wamefariki dunia katika tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.8 katika kipimo cha Richter lililokumba Wilaya ya Luding, Mkoa wa Sichuan nchini China siku ya Jumatatu.

Makao makuu ya uokoaji yamesema kwenye mkutano na waandishi wa habari leo Jumatano kuwa, katika Tarafa inayojiendesha ya Watibet ya Ganzi hadi kufika Saa 6 mchana leo Jumatano, watu 40 walikuwa wamefariki, 14 walikuwa bado hawajapatikana na 170 wamejeruhiwa, na katika Mji wa Ya'an watu 34 walikuwa wamefariki, 12 walikuwa bado hawajapatikana na 89 wamejeruhiwa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha