99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Hali ya ukuaji wa “Mpunga Mkubwa” yafurahisha watu (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 07, 2022
Hali ya ukuaji wa “Mpunga Mkubwa” yafurahisha watu
Picha hii iliyopigwa Septemba 6 ikionesha mashamba ya “Mpunga Mkubwa” katika Kijiji cha Dongbaizhuang cha Mji wa Dongjituo wa Eneo la Ninghe la Mji wa Tianjin.

Siku za hivi karibuni, hali ya ukuaji wa “Mpunga Mkubwa” uliopandwa kwenye mashamba yenye hekta 6.67 katika Kijiji cha Dongbaizhuang cha Mji wa Dongjituo wa Eneo la Ninghe la Mji wa Tianjin inafurahisha watu.

Kwa kufahamishwa kuwa aina hii ya “Mpunga Mkubwa” ilipandwa mwishoni mwa Mwezi Mei na inatarajiwa kuvunwa Mwezi Oktoba.

(Mpiga picha: Sun Fanyue/Xinhua)  

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha