99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Tamasha la 13 la China lafunguliwa Beijing (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2022
Tamasha la 13 la China lafunguliwa Beijing
Tarehe Mosi, Septemba , wasanii wakionesha mchezo wa opera kwenye ufunguzi wa tamasha hilo.

Siku hiyo, Tamasha la 13 la China lilifunguliwa katika Jumba la Taifa la Maonesho ya Michezo ya Sanaa la Beijing. Katika kipindi cha tamasha hilo, yatafanyika maonesho ya michezo ya sanaa ya sehemu mbalimbali nchini China, ambapo pia yatafanyika maonesho matatu ya uchoraji, maandiko ya Kichina, uchongaji na upigaji picha na shughuli nyingine. (Mpiga picha: Chen Zhonghao/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha