99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mshabiki wa Kungfu aanzisha darasa kwa watoto wa kijijini (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 25, 2022
Mshabiki wa Kungfu aanzisha darasa kwa watoto wa kijijini
Tarehe 16, Agosti, 2022, Liu Long na watoto wake wakifanya mazoezi ya kuchuchumaa kwenye Kijiji cha Liuzhuang cha Mji wa Pizhou, Mkoa wa Jiangsu wa Mashariki mwa China.

Liu Long mwenye umri wa miaka 35 ni mshabiki wa Kungfu ya China. Aliona watoto wake watatu pia wamevutiwa na Kungfu na huiga matendo yake wakati alipofanya mazoezi, hivyo alianza kuwaongoza watoto wake kufanya mazoezi pamoja naye, ambapo wanakijiji pia waliwapeleka watoto wao kuja kujifunza kutoka kwa Liu.

Kwa kuwa watoto wanaojifunza Kungfu waliongezeka zaidi, Liu na mkewe walianzisha darasa la Kungfu. Liu anatumai watoto wanaweza kukua kwa furaha na afya njema, na kupenda Kungfu katika maisha yao yote. (Xinhua/Li Bo)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha