99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Msichana wa kabila la Wamiao azifanya mali za urithi wa utamaduni usioshikika zioneshe nguvu ya ukuaji (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 23, 2022
Msichana wa kabila la Wamiao azifanya mali za urithi wa utamaduni usioshikika zioneshe nguvu ya ukuaji
Mama wa Zhang Juanjuan akimwelekeza kuchora picha ya batiki kwenye ofisi yake ya batiki ya Anshun, Mkoa wa Guizhou wa Kusini Magharibi mwa China Agosti 18, 2022.

Msichana wa kabila la Wamiao Zhang Juanjuan aliamua kurudi nyumbani kwake baada ya kuhitimu masomo ili kurithi biashara ya batiki ya ukoo wake inayopokeana kizazi hadi kizazi. Batiki ni mali ya urithi wa utamaduni usioshikika wa nyumbani kwake. Alisajili nyumba ya kutengeneza batiki ya wazazi wake kuwa kampuni ya sanaa ya batiki, akaanzisha ofisi yake mwenyewe ya DIY. Ili kupanua biashara yake, Zhang Juanjuan pamoja na wenzake walisanifu bidhaa za batiki ambazo zina matumizi halisi, bila kuchafua mazingira na zilizo za mtindo wa kisasa. Anatumai batiki za kabila la Wamiao zinaweza kufahamishwa kwa watu wengi zaidi kwa kupitia mtandao wa intaneti, na kurithiwa na vijana wengi zaidi. (Xinhua/Yang Wenbin)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha