Dawa za Mitishamba za China zatumiwa kupambana na UVIKO-19 huko Sanya
 |
Mfamasia akiweka chupa yenye dawa za mitishamba za China (TCM) kwenye mashine ili kugawanya dawa hizo katika “Hospitali ya TCM inayohamahama” huko Sanya, Mkoa wa Hainan wa Kusini mwa China tarehe 20, Agosti, 2022. Kutokana na maambukizi mapya ya virusi vya korona, hospitali 12 za muda na 3 za kupangwa zote zimeanza kutumia TCM kwa ajili ya kupambana na virusi vya korona. Kila siku dozi zaidi ya 10,000 za dawa za TCM zinatumiwa kutoka hospitali hadi mikononi mwa wagonjwa. (Picha/Xinhua) |
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)